Blog Center
  1. Home >
  2. Blog >
  3. Blog Detail

Matukio chunya

Tarimo alisema ameamua kuwaita wadau wa maendeleo katika halmshauri ya wilaya ya chunya ili kuwahamasisha katika suala zima la kufanikisha mara moja ujenzi wa chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya wilaya kutokana na umuhimu wake kwani ni aibu kwa wilaya kongwe kama Chunya kukosa sehemu ya kuhifadhi maiti

Relate Blog

toTop
Click avatar to contact us
Hi,may I help you with products, price, etc?
Chat Online